Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa mwenzetu Heaven Sent anaishi kwa wa kishua kule,, sisi huku tunachojivunia ni benki kuu, mahakama kuu, chuo cha mzumbe na shule ya st francis ndiyo vinatuheshimisha watu wa forest ya zamani ila nyumba mamamama nzuri zinahesabika..

Halafu mbona hata kule kwenu pia watu wamejenga na ni pa kishua sana ila basi tu hapa unajichetua,, yaani Mbeya mjini ilivyo ndogo sehemu za kishua zote zinajulikana na za changanyikeni zote zinajulikana wewe na H S mnaishi sehemu za kishua mno..
Mfyuuuuuuuuuuuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona mama, huyo nimeshamzoea na kwa vile ni yeye ameniambia hivyo sishangai siku akiongea lolote zuri kuhusu mimi nishitue.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nimeshangaa hata wewe kumuunga mkono
Nakuungaje mkono kupenda kelele?[emoji23]
 
Naam
IMG_20191202_214005.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo wangu hayo mazungumzo umeyaanzia mwanzo kweli?? Mie napenda vitu vingi ila yeye kaona eti mlio wa ndege ndiyo utanifaa sababu napenda makelele!!
Mdogo angu wa mwisho kabisa hayo mazungumzo nimeyaanzia hapo nilipokuqoute 😀😀 na uzee huu kweli nianze kuscroll macomments yenu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ati mdogo wako wa mwisho,, wewe january hesabu maumivu tu mbona..
Mdogo angu wa mwisho kabisa hayo mazungumzo nimeyaanzia hapo nilipokuqoute [emoji3][emoji3] na uzee huu kweli nianze kuscroll macomments yenu
 
Back
Top Bottom