Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nialike nije na huko kwenu mkwe...ila kuwe na vivutio kusiwe kama Mbeya
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Huku kwetu mkwe bora hata ya Mbeya, hata maji bado tunachoka mtoni/visimani. Hata umeme hakuna, nyumba ndio hizo unazoponda za udongo.


Kivutio pekee kilichobakia ni mkeo ambae pia yuko singo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawatuelewi kabisa,, yaani Saint anne na Hawachi siyo wa kubishana na sisi mama zao eti..
[emoji3][emoji3] mm sio mtoto aisee, yan mimi kabisa unataka unifananishe na Saint anne wa 99? Sio haki kabisa....afu mimi hakuna kitu nimebisha ila nyie mnaouforce uhenga ndio mnashindwa kutuelewa au sio mzee mwenzangu Karma
 
Back
Top Bottom