Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Hujaumbika
Malizia methali hii:
Kabla hujafa..........
Malizia methali hii:
Kabla hujafa..........
Uliwahi kuona nabishana mahaliWe pia mbishi sana kuliko hata wakina saint anne na karma
Ulikua vizuri sana....enzi za ujana wakoWakati namaliza Adv...mwaka 1993View attachment 1279756
Unapenda nini? Daah! Wanyaki nasikia mnaridhikaga na vitu vidunchu sana...Safi [emoji177]
Yan ulivyo fasta sasa 😍
Emu niifute kabla raia hawatoka dinner
☺☺ nikuone basiUlikua vizuri sana....enzi za ujana wako
Chat na picha wapendwa
Imenishangaza 😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo sasa mbona kama umeshangaa eti??
Imenishangaza [emoji3][emoji3]
Haya ni majibu ya wanangu...Hujaumbika
Tulia wewe.Yan ulivyo fasta sasa [emoji7]
Emu niifute kabla raia hawatoka dinner
Tulia wewe.
Ah sasa songwe nako kuna ndege basi?? Kwa mtu kama mimi ninayependa milio ya ndege kibongobongo airport kama jnia ndiyo itanifaa!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unapenda nini? Daah! Wanyaki nasikia mnaridhikaga na vitu vidunchu sana...Safi [emoji177]
Mweeeeeeh[emoji134][emoji134][emoji134]Dogo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😀😀😀😀Haya ni majibu ya wanangu...
1. Gawa mali
2. Acha wosia
3. Tumia pesa
4. Chimba kaburi
5. Utakata roho
6. Omba msamaha
7. Tubu dhambi
8. Utakiona cha moto
9. Lazima uage ndugu
10. Lazima uishi
11. Kula maisha
Nk nk nk.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Otimbi na timbilioo
Mlio wa ndege 😀😀😀[emoji1787][emoji1787]kwamba nimeridhika na vitu vidogo enh??
Hatari sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani nilicheka acha tu.
Haya ni majibu ya wanangu...
1. Gawa mali
2. Acha wosia
3. Tumia pesa
4. Chimba kaburi
5. Utakata roho
6. Omba msamaha
7. Tubu dhambi
8. Utakiona cha moto
9. Lazima uage ndugu
10. Lazima uishi
11. Kula maisha
Nk nk nk.
Yaani acha tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa yaani hayo majibu na hiyo avatar nimejikuta nacheka mara dufu,, wamejibu hivyo kwenye paper au??