Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,847
Usinifanyie hivo tafadhali 😀😀😀 afu njoo wasap nikupe kitu 💃[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ati mdogo wako wa mwisho,, wewe january hesabu maumivu tu mbona..
Usinifanyie hivo tafadhali 😀😀😀 afu njoo wasap nikupe kitu 💃[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ati mdogo wako wa mwisho,, wewe january hesabu maumivu tu mbona..
Lala dogo ukueUsiku mwema.
Wewe mnyakyusa feki.
Tena ndiyo Nini Sasa?
😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anne mama,, mimi sihitaji kura za maoni ili ipitishwe kwamba ninajua kinyakyusa kwa vile najua kuwa najua basi imeisha hiyo haina mjadala tena.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usinifanyie hivo tafadhali [emoji3][emoji3][emoji3] afu njoo wasap nikupe kitu [emoji126]
Chako peke ako..hakuna kushare na mtuNa unipe kweli,, we nizingue tu..
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Huku kwetu mkwe bora hata ya Mbeya, hata maji bado tunachoka mtoni/visimani. Hata umeme hakuna, nyumba ndio hizo unazoponda za udongo.
Kivutio pekee kilichobakia ni mkeo ambae pia yuko singo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chako peke ako..hakuna kushare na mtu
Mshua upo humu Jf pia
Nimecheka Sana,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anne mama,, mimi sihitaji kura za maoni ili ipitishwe kwamba ninajua kinyakyusa kwa vile najua kuwa najua basi imeisha hiyo haina mjadala tena.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]nakuja nikikute huko,, tatizo wewe na Saint anne sijui mna ugomvi na whatsapp..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah kweli kina Yuda Iskariote bado wapo
NdiyoUmemuunga mkono kwamba mimi nina matatizo!! Ndiyo nauliza hata wewe kweli??
😂😂😂😂 WhatsApp wanatumia wafanya biashara, wazee na watoto chipukizi kama wewe na Atoto sisi watu wa makamo akuuu 💃💃[emoji1787][emoji1787]nakuja nikikute huko,, tatizo wewe na Saint anne sijui mna ugomvi na whatsapp..
Wapi hapo mkuu,panaonenakana pako fresh.
kijana mpya gari ya zamani! View attachment 1279785
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] WhatsApp wanatumia wafanya biashara, wazee na watoto chipukizi kama wewe na Atoto sisi watu wa makamo akuuu [emoji126][emoji126]
Yah maramoja moja sio mbayaMshua upo humu Jf pia