Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Hata kwenye stori sijui niliingia vipi maana ilikuwa uzi wamefunguliana huko,ERoni alikuwa anajadiliana,nikaingizwa na mm kwenye stori from no where na matusi kibao.
Nikawaza ama ndio vitisho nilivyopewa pm wamekuja kutimiza azma yao.
Nikawaza ama ndio vitisho nilivyopewa pm wamekuja kutimiza azma yao.
Nkamu huyu atasema yote ww kaa kwa kutulia, sasa ww chunguza zile id’s zilizokusema kuna kitu utagundua…!!
Utaona wote wanasema watu wa aina moja na wanamsifia mtu wa aina moja 😂😂😂😂
Na uzuri uduguu kakubali ana multiple id nyingi