Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,471
- 94,922
Nkamu huyu atasema yote ww kaa kwa kutulia, sasa ww chunguza zile id’s zilizokusema kuna kitu utagundua…!!Dah kuna siku naletewa screenshot IDs zimenitukana hatari
Stori ambazo na mm ndio naziona pale
Sema mimi sinaga muda wa kujibu vichaa nikasema tu Mungu ataufunua ukweli.
Utaona wote wanasema watu wa aina moja na wanamsifia mtu wa aina moja 😂😂😂😂
Na uzuri uduguu kakubali ana multiple id nyingi