Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Alipata wapi?? Akati wee ulimpa password yako ya JF, na had watu wengine walokua wanakujia PM, alikua anawajibu yeye. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe aisee Mimi hata sijui kama aliwajbu huko pm .

Nilimpa eeh niliona watu wanasimanga sana huko pm kisa nipo nae .

Ila Jf 😂 wasione couple ni wataleta maneno weh Hadi couple ife ..
 
Humu ukiona mwenzako ananyolewa hebu malizia [emoji28][emoji28][emoji28].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zako tia majiii.
Watu weuweeeeeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe aisee Mimi hata sijui kama aliwajbu huko pm .

Nilimpa eeh niliona watu wanasimanga sana huko pm kisa nipo nae .

Ila Jf 😂 wasiome couple ni wataleta maneno weh Hadi couple ife ..
Sema mimi nlkua nakuelewa bora skuskia hio issue ya 30 ingeniuma kama ndo mimi
Yan kama Yuda vipande thate
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu Tin yy alikutana nao kabisa mcity ndo kilichomponza, hiyo ya kuwapa haina ukweli unaweza kuwadanganya km mimi wanavyoniuliza unakaa wapi nawaambia bonyokwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe nimetulia mkoani huku muda huu nimetega jaba nakinga maji ya mvua
[emoji23][emoji23]
Bonyoka
 
Aseee!
Sijawahi kuwa makini kusoma comments kama leo...asante usingizi kwa kukata,ningepitwa kwa hiki kidogo

Enwei,kama itawezekana naomba siku nyingine mfanye mchana jamani,ona sasa silali tena hadi mmalize [emoji2356]

Ishu ya SATE nimetoka kapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee DA Jo kalaleee tyuuh, utaumiza kichwaa bureee. Huu uzi una wenyeweee.
 
Back
Top Bottom