Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,516
- 95,039
😂😂😂😂 Mimi kwa nilivyo na mdomo pata picha ndio wangenijua sasa???Hahaaa Yani
Sasa wengine wamesingiziwa na jina langu ndo linahusika nikaona hapana Nije tu .
Yaani humu Jf ni zaidi ya kichaka kwa kweli .
Ni kuwa makini haswa lasivyo kinakuramba .
Mimi ndiomana sipendi kushinda pm za mitongozo na wanaume, hawachelewi kukuleta uaibike…
Bora kina uduguu wangu pm zao ni kusimanga wake wenza na kuteta wengine 🤣🤣🤣🤣