cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,069
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ndo hawajui washike lipiii, km ni demu au shogaaa, nabadilika kutokana na angle husika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu Tin yy alikutana nao kabisa mcity ndo kilichomponza, hiyo ya kuwapa haina ukweli unaweza kuwadanganya km mimi wanavyoniuliza unakaa wapi nawaambia bonyokwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe nimetulia mkoani huku muda huu nimetega jaba nakinga maji ya mvua
Afu nawaachia wao waamue waishi na lipiiiii.