Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,229
- 183,082
Duuuuh kaziii ipooo. Hii mpyaa kabisaaaa.
Aseeeeh nyie mnajua mnachogombanaaa.
Mie ndo hata sikua najua chochote, nashangaaa hapaa. Mtamalizanaga wenyewee.
Wee ndiomara yako yakwanza kusikia habari za ushoga humu???
Mi nikajua kuna mpya arrrhhhhgggg!
😴😴😴😴😴💤💤💤💤💤💤💤💤💤!
Mrare unono wapendwaaaaa kesho nayo siku Bado napenda kuselfika mwenzenu Mshana ameupambania sana huu uzi ✌️✌️✌️✌️✌️!