Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio nakwambia useme nahio alute ni Yangu! Sikia sina muda wa kujibizana upuuzi sihusiki nahizo ids na nishakwambia sioni Sababu ya kukujia na ids mpya!
Mimi niwe Tin nije kuomba msamaha humu???? Bwahahahahahah Nimecheka kwa dhaarrrrraaaaaaaaauuuuu🙄🙄🙄🙄🙄!
Nishakujua ni rafiki wa aina gani Sina muda nawee so give me a break pulllllllliiiiiiiiizzzzzzzz!!!! 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️!
Uduguu tulia umeniqoute mara mbili ujue 😂😂😂🤣

Sema nini punguza jazba maziwa yatakuwa hayatoki utashindwa kumnyonyesha mtoto 😂😂😂😂

Haya yameisha nimesamehe saba mara sabini kwaresima hii
 
We koma msengeeer mwenyewe uliyekula matapishi yako…
Mimi na wewe hatujawahi kuwa marafiki, rafiki yako ni huyo unayemuita shoga pembeni sawa??
Unajua mwanzo niliona wanakuonea kumbe walikuwa sahihi una kichaa cha mahusiano…

Kukandia umekandia, na kwa taarifa yako mchawi wako ni kivuli chako…
Nikukandie kwa lipi yani???? Sijaona na sinaaa la kukujia na id mpya!
Hayo yote ni marudio nasubiria jipya!
 
Sasa wee una muaminii vipiii mtuu bhanaaa?
alikupaaa nn hadi ujitoe muhanga hvyoo?

Kipi special alikupaaa?
😅
Ni ujinga tu
Na ilikuwa nijifunze kitu maana hii tabia ni mbaya .

Unajua unaweza ukapata jambo kumbe limekuja kukufundisha vitu . Ndo hilo .
 
😅
Ni ujinga tu
Na ilikuwa nijifunze kitu maana hii tabia ni mbaya .

Unajua unaweza ukapata jambo kumbe limekuja kukufundisha vitu . Ndo hilo .
Tin nilikwambia humu hutakiwi kuogopa hata usemwe vipi!!
Ila umenikosha ulivyopita na visate vya wadau 😂😂😂😂

Sasa fanya na miongozo umlie pesa, nasikia anazimwaga km njugu 🤣🤣🤣
 
Muulize huyo uduguuu wako anaeniuzia kesi zisizo zangu me and her were okay kabisa atajua mwenyewe yaliyomsibu hata hivo nishasema Baadhi ya marafiki ni wasenggge tu ndokama hivi! Sa huyo lamama nianze kumkandia kwa id mpya kisa nini kwa mfano?
Duuuuh kaziii ipooo. Hii mpyaa kabisaaaa.
Aseeeeh nyie mnajua mnachogombanaaa.

Mie ndo hata sikua najua chochote, nashangaaa hapaa. Mtamalizanaga wenyewee.
 
Back
Top Bottom