Sisi tulikuwa tunashikishwa sikio...ukiweza basi unazama std 1 the same day hata km hauna uniforms...
Ila sasa ukiwa ndio kimo cha wale wa kupambana chini kwa chini, halafu bichwa kubwa kubwa hivi, umri unaweza ukawa umeenda lakini sasa vimikono ndio haviwezi zungukia sikio ya the other side
We mie sio wa kishua, nimeanza kuvaa uniform darasa la3 hapo unapiga na ndala zako freeeeesh au peku mwendo mdundo.
Mie sikushika sikio maana nilikuwa najua kusoma na kuandika tayari hivyo wakanichukua moja kwa moja.
Uliniambia unakaa iwambi kwa wazee na nzovwe kwa sista sasa let's talk about huko kwa wazee ambako ndiko umekulia huko kwa sista si umehamia juzi juzi tu