[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namna kijana amepata nguvu ya kuwashtua mabinti hapa, ila naona kuna tajiri la kihaya linakuja kwa mbali likiwa limepaki benz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Narudi kesho lazima tumpate mshindi
Narudi nyumbani narudi kwenye shida ya umeme narudi mahali kwenye joto kalii sana narudi home kigamboni nimefika moroco hapa nasubiria Turkish airlines inipeleke bongo moya kwa moya 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
View attachment 2916450
Ni rahisi sana AuntieAsante itabid nije huko nipewe darasa la kubake Auntie😍😍
Itabid nijifunze sanaNi rahisi sana Auntie
Waweza jifunza hata ukiwa huko na ukabake vizuri
Kikubwa utayari na niaItabid nijifunze sana
[emoji849][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bado sijarudi
Mkuu kumbe ww ni Go.....!Narudi nyumbani narudi kwenye shida ya umeme narudi mahali kwenye joto kalii sana narudi home kigamboni nimefika moroco hapa nasubiria Turkish airlines inipeleke bongo moya kwa moya [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 2916450
Yule ndugu yanguKaka,baada ya kutokukuona kwa mwaka mmoja,nimerudi nimekukuta umebadilika sana.
Umekuwa mbaba na midevu ya kutosha. cocastic umefanikiwa kumfungia ndani mkuu? Au Bado unambwela?
Sa mbona unaniletea unacheka au ndo unaniletea kiutani utaniNakuleteaaa cazeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binamuu nyama ya hamuu, hatuzulianiiii
Ungeenda kwa jumanne mlilo kutoa taalifa kuwa umepotelewa na mtoto wa mjombaJaman cazeee niko hapa vereee, wee ndo ulipoteaa eti?
Nini kinaendelea jirani 😅😂😂😂 Vijana huyu beki kawauza inaonekana kakata tamaa, vibabu vinaendelea kujiokotea point za buree na mabinti wamegoma kupewa afu tatu…. Namuona kijana kaachia goli babu afunge goaaaaaaalllll
Vibabu 2-Vijana 0
Haya mpira unaendelea Half american anatoa pasi ya 5k naona babu Grahams anaizuia kwa 20k fasta…. Namna gani paleeeee 😂😂😂😂
🤣😁🤣🤣Heshima yako kaka 😁🤣🤣🤣 njoo pm kaka😁🤣Mkuu kumbe ww ni Go.....!
Tunajuana basi aisee, but hii pic sio ya leo ni last year
Badae ntakubles sis usiwazeeee!Aje tu atupie maphoto.
Tupia na ww ccy thatha😁😁
Amekua mkubwa hivo🙆🙆
Ukisema wenzio na ww utasemwa.
Bila bila, haya gud nyt ccy.
"Simu ikizima shem Smart911 atanunua nyingine"