Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1708849682384.jpg
 
🤣🤣🤣🤣 Tin mlokole hana hizo shostizo wangu bana, halafu mi nachangamsha genge hapa….
Yule binti Sayuni hizi mbungi zetu haziwezi kabisaaa…!!
Sawa alafu ww ni muongo ukanambia jana utaselfika lkn hola.
Selfika sa hv tumalizane🥴🥴🥴🥴
 
Dah!

Hivyo viganja vitaweza kweli kushika hizo handles hata kama una gloves...

Hakuna sehemu baridi inachapa kama kwenye pua, masikio, vidole vya mikono na miguu (sehemu damu ipo kwa uchache na hakuna mafuta mwili)
Mzee lazim nitoke nje na jacket kubwa na gloves heavy na a benie maana bila hivyo sitoboi🚴
 
Tinsley
Waylen
Babe gal usiwe na wasiwasi kujichanganya na kuchangia chochote selfika au popote.
Sisi sote ni binadamu na sisi sote hukosea

Yule alokufanyia ule upumbavu alisahau kua yeye pia ni binadamu na ana madhaifu mengi pengine hata kukushinda wewe.

Hakuna binadamu alokua na mabaya tu hata wema pia.
Ukiona ujumbe wangu tafadhali
Ufanyie kazi.
Kabisa arudi maneno kawaida bana, Tin rudi shosti ila punguza kuwajua watu nje ya JF uenjoy life la humu 😘😘😘
 
Niko hapa njia panda ya segerea kwenda majumba 6.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa usitoke kaa hapo hapo, kijora cha sale ya kufatia vyombo si unacho??
Mwambie Mjep akupe risiti mengine atuachie tunamaliza wenyewe 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom