Selfika na JF: Snap it. Show it

Lamomy uduguuu uko wapiiii nna jamboo nataka nikupeee, cna kifua hicho cha kuhifadhiiii.
Hebu fanyaa ukujee hukuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lamomy uduguuu uko wapiiii nna jamboo nataka nikupeee, cna kifua hicho cha kuhifadhiiii.
Hebu fanyaa ukujee hukuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu nimefika japo kwa kuchelewa, nilikuwa safarini leo…
Hapa nimeweka mabegi mbio mbio nije huku nione kuna mupya gani.??
Haya lete ubuyu huo πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Na kwann ukae na umbea uduguu wangu ukunyonge bureee wakati mi nipo wa kukusaidia kumumunya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jumatatu naenda kujaza fomu mkopo kausha damu....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Udugu haiwezi kupata tabu Mie nipo
Oyoooooooo.!!! Wifi la dunia 😍😍😍😍
Huna baya na mtoto nikizaa wa kike nampa jina la aunt yake Mammy K πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha nimecheka kinoma
Endelea kunitunzia tu.

Very soon narudi mchuchu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Weee kaa kwa kutulia, mwenzio nishatolewa mahari japo kwa mbinde sana na bwana harusi….
Umechelewa kalamu imeshaliwa 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…