Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Asante sis😘!😍😍😍😍😘😘😘😘Pendeza ccy
Asante sis😘!😍😍😍😍😘😘😘😘Pendeza ccy
Kam kauwaaa kam dauwaaaa.. ✌️Hasimu jana nilipitwa na foto yako do the needful 🤳 one time pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Wozzzzah
Hahahahaha..kawaida tuNamna hii uzi unanoga.
Kiatu kizuri 🔥
Boss mkemia nibless na jumaa Mubarak mojaKam kauwaaa kam dauwaaaa.. ✌️Hasimu jana nilipitwa na foto yako do the needful 🤳 one time pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Umekaa zako unakula tunda kimasikhara..
Wee kumbe! Umetishaaaa. ✌️Hahahahaha..kawaida tu
Lol picha nyingi nilizifuta mjumbe badae nitakuangaliziaBoss mkemia nibless na jumaa Mubarak moja
HahahahahaWee kumbe! Umetishaaaa. ✌️
Kwa mara ya kwanza naona umetupia humu sijawahi bahatisha foto yako wabheja sana ! Siku nyingine utupie 🤳 ya juu sasa!
Sipo busy na watoto wanacheza nje,timiza ahadi.😃😃 kila la kheri kwenye majukumu ya ubize.
Aikooooooo! Wwe ndo unamashimo kwenye mishavu nyodo tu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Labda kiporo cha asubuhi. Ukirudi nibeep
Leo zamu yako. Kamilisha end of week vizuri basi?
Nyodo zikwapi 😀😀😀 we kimaAikooooooo! Wwe ndo unamashimo kwenye mishavu nyodo tu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Umeniwekea brake kwa hand brake. Amani itawale kipindi cha kutubu na Maungamo 🤣 🤣 🤣 🤣 AikoooooohNyodo zikwapi 😀😀😀 we kima
Anakipenda balaa. Yule 👮♀️ 🤣🤣🤣🤣🤣
Naomba usiropoke kitu
Maana mdomo wako siuwezagi
Nimeminya clutch + brake kwa nguvu zote. Nimeshusha handbrake nimezima na gari,, sitaki maneno, na sitaki kushiriki dhambi yoyote na wewe 🤣🤣Umeniwekea brake kwa hand brake. Amani itawale kipindi cha kutubu na Maungamo 🤣 🤣 🤣 🤣 Aikooooooh
Nikuone basi. Madam AikoooAikooooooo! Wwe ndo unamashimo kwenye mishavu nyodo tu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Usiseme sana basi nawewe, Namsubiri arudi tu na vile hawajuagi kukataa. tugawane ration 🤣 🤣 🤣 🤣Nimeminya clutch + brake kwa nguvu zote. Nimeshusha handbrake nimezima na gari,, sitaki maneno, na sitaki kushiriki dhambi yoyote na wewe 🤣🤣
Njoo DodomaNikuone basi. Madam Aikooo
Mwenye copyright zake mjini 🤣🤣🤣