Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Sasa hivi umepoa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem nimechekaaa, sahivi nimeamua kutulia, ila wakati ulee, nlkua navurugana na watu, bas ntatumia pc, ntaona nachelewa kutype nahamia kwa cm had inapata motooo, narud kwa Pc .
Najionaa nimepoaa wallah, na ukubwa unachangiaaa.