Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,540
- 95,100
😂😂😂 Ungejimix akujue uone balaa lake sasa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua nacheka leo kutwa nzima, natamani kujua nilinangwaa kwa kipii, afu yule dada huwezi amini, tulikua pisi sanaa.
Kuna siku alikuja had chuo ili anione sema nikamkwepa ki aina, hata yaliyo semwa juu yake sikuamini, siku amekuja hapa Jf Kuomba msamaha, wallah nilistaajabu unajua hafananiii kabisaa,
Yaan alikua very innocent, najionagaa mie ndo waru waru, kumbe bora mie aseeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angekuleta wima wima nakwambia na ungenangwa zaidi ya ulivyonangwa.!!😂😂😂
Humu ni kuishi bila kujuana wakeshe wanahangaika kukutafuta, hii kujuana imeleta shida sanaaa.!! Mtu anakuchambua km ana kadi lako la clinic dadeq..!!
Hawa watu wanaojifanya wapole humu ni waongo sijapata kuona, kwanza wana id’s zao za kuchamba tofauti na walizozoeleka.!!
Wanapenda kuonekana wastaarabu kumbe wapuuzi afu tunawachora, tunawacheka hihiiiiiiiii 😂😂😂😂