Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie mimi mwenzenu hata sioni picha, hiyo app mpya imenishinda naona iko kama browser tu ambayo nayo ilishanishinda najitahidi kuizoea ila wapi sijui wenzangu mmeizoeaje, watu wa app ya zamani tunateseka sana na wamesema soon tu wanaidisconnect kabisa na JF
 

Ipo kama app tu ya zamani na wakati huo huo kama browser...

Inatumika fresh tu mbona...
 
App inazingua sana tumia browser ina nafuu..
 
Waniulize mimi
Niatwambia wewe ni boss
Wao wakuone unapuyanga tuu

Inabidi nikutafute tupige gahawa boss wangu
Blaza ukiniita boss watu watajua ni boss kweli kumbe napuyanga tu😁😁

Wacha bhasi😁😁😁eheee niko huku blaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…