Klay King
Senior Member
- Apr 3, 2019
- 148
- 277
Kalibong'oa hapo
Afrika kuzuri sana..View attachment 1279278
Afrika kuzuri sana..View attachment 1279278
Unamuonea nani aibu? Kuna wakwe zako hapa?Naona aibu hata kukwambia nimeelewa nini😁😁
Haya basi ngoja nikwambie anakwambia hivi anamaongezi na wew piemuni 😁😁😁Unamuonea nani aibu? Kuna wakwe zako hapa?
Unayo umeipata wapi?Umefuta wakati ninayo bado?
Hahahahahahaha yani watu walibisha kama wanakujua sanaaaaa watu wabaya sanaSiwezi kuweka tena jana nimeweka ya kichwa walimwengu wakaandika ninakichwa kinachofanana na zombie
Dah.. Kishudu icho![]()
Hakika mkuu wabaya sanaHahahahahahaha yani watu walibisha kama wanakujua sanaaaaa watu wabaya sana
Kumbe ndio alichosema? Yan naonekana nna miaka 27 afu fujo zangu za hapa ni kama nna 39 yrs!! 😝😝😝Haya basi ngoja nikwambie anakwambia hivi anamaongezi na wew piemuni 😁😁😁
Aah hapanaPozi ilo ww
Kaandika wapi hayo mpendwa nikajisomee na mimiKumbe ndio alichosema? Yan naonekana nna miaka 27 afu fujo zangu za hapa ni kama nna 39 yrs!! 😝😝😝
Bado nasubiri yakoNaona aibu hata kukwambia nimeelewa nini![]()
Tupia yako nami nawekaBado nasubiri yako
Hivi kweli mimi ni mtu wa piemu kweli, labda nitakuja kwenye piemu yakoHaya basi ngoja nikwambie anakwambia hivi anamaongezi na wew piemuni![]()
Vuta subira nitawekaTupia yako nami naweka
Hakuna haja ya kuweka hapa picha maana watu wanatujua kuliko hata tunavyojijua wenyewe hahahahaahaHakika mkuu wabaya sana
Yaani namseti mrembo hutaki aiseeHivi kweli mimi ni mtu wa piemu kweli, labda nitakuja kwenye piemu yako
HayaVuta subira nitaweka