Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,139
- 95,863
We ulijua wenye shida😂🤣🤣, hamna Cha uvivu😂🤣🙏Hamna selfika mbona watu wote walikuwa wastaarabu tu kugombana hakuzuiliki btw nilikuwa nataka kuwatag wote sema niliona uvivu tuu 😄
We ulijua wenye shida😂🤣🤣, hamna Cha uvivu😂🤣🙏Hamna selfika mbona watu wote walikuwa wastaarabu tu kugombana hakuzuiliki btw nilikuwa nataka kuwatag wote sema niliona uvivu tuu 😄
Wewe utakua na lako maana umeshikilia hilo tu 😄We ulijua wenye shida😂🤣🤣, hamna Cha uvivu😂🤣🙏
Ameen🙏😍🙃Ni maombi yangu ya kila siku baada ya kujiombea afya njema kwangu na familia yangu, basi maombi mengine ni kwa timu hii.
Ni maombi yangu tushinde vikombe vya Epl na Uefa Champions league ndani ya miaka hii 2024-2026.
Huenda kimoja wapo kikatua Gunners 💪
I mean no malice to nobodyWewe utakua na lako maana umeshikilia hilo tu 😄
Mtetea wa wiki 3 😂🤣🤣, never 🤒🙉Karibu Sana msangani! Mkuu.
Umekunywa chai kwanza? Au nikuandalie mtetea wangu hapa.
Sasa tunajulikana vipi??Hapa hatuwataki wenye chuki![]()
Mi sijui😁😀🤒Sasa tunajulikana vipi??
Ana jua kiasi chake, kiroho Safi💪Arthur Nanau.... Namuelewa sana
Unaweka emoji ya vikopa kopa kwa mwanaume mwenzio?Ameen![]()
Full burudani huku stress tupa kuleeeEhhh Huku Kuna amani tu 😁🤣
Badala ya kuni lalamikia Mimi, chagua vita au kuweka silaha chini.Unaweka emoji ya vikopa kopa kwa mwanaume mwenzio?
Oyaa Kuna mbwa ana force battle😁🤒Picha Lina Anza 🤓🤓🤓 California Love
Mnaanza kuharibu uziBadala ya kuni lalamikia Mimi, chagua vita au kuweka silaha chini.
Maana kila mbuyu mkubwa una wake jini, so uungwana kuja kubweka Kama mbwa aliye katika ulimi.
Cc National Anthem
Mm niwe na vita na wewe? Nakua natafuta nn?Badala ya kuni lalamikia Mimi, chagua vita au kuweka silaha chini.
Maana kila mbuyu mkubwa una wake jini, so uungwana kuja kubweka Kama mbwa aliye katika ulimi.
Cc National Anthem
Naongea na yeye anaanza kutag wengine, alivyo hajiaminiMnaanza kuharibu uzi
Hey uwa sitaki shobo na gasho like you 😡😡
Ilo tusi futa madam, tume waita watu katika Uzi wa selfika 2.Hey uwa sitaki shobo na gasho like you 😡😡