The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,217
- 16,089
uzi utafungwa,nawaonea huruma,mtaenda wapi
![]()
Nin tena ifungwe jamanii
uzi utafungwa,nawaonea huruma,mtaenda wapi
![]()
Nina mpdf niuachie hapa???
Hakimu nipo hapa karibuni sanaWeka sera kabisa mtu akizidiwa matani asikimbilie kushtaki![]()
Ukifungwa huu unaleta mwingine mpaka wachokeUsha fungwa mzee, ndo Mana tume kuja na come back part 2
Kiwanja kipyaShwariii
Nimewaonea huruma ,haya njooni huku kijiwe kipya![]()




Mbwa za mnyama au???, Ni hizo pipo za huko mambele![]()
Ume wapa jina la kwenda😁😁Hizo hizo people
Ehhh Huku Kuna amani tu 😁🤣Kiwanja kipya![]()
Natangaza amani 😁😂🤣Shwariii
Nimewaonea huruma ,haya njooni huku kijiwe kipya 🤣
Huku amani itawale😀😁, ili wasi tutafutie sababu 🤐Ukifungwa huu unaleta mwingine mpaka wachoke
Wajumbe vipi Tena😁😀😉Uachiee tuuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ohhh 🏃🏃🏃🙄Nina mpdf niuachie hapa???
Usihofu project yako inaenda vizuri muitikio si haba 😄Wajumbe vipi Tena😁😀😉
Usha Anza mizinguo, Huku amani tu🤒🤐
Kumbe ni project Tena😀😁, dhini ya kina nani Tena😀😂🤣Usihofu project yako inaenda vizuri muitikio si haba 😄
Usiogope mwaya😀😁, Huku amani tu😀Ngoja nijipangeee ...mi nikitupia sionekani tena wiki...
Hi ni kamati ya wajumbe wapya😁😀, watangaza amani🤒Naona kumekucha kumekucha
Mmeingia huku Sasa 😁
Huu Uzi gani Tena jmn
Sio dhidi ya mtu yoyote ile ila si umeanzisha thrd yako 😄 watu wameitikia na kuna waliopigwa ban wakifunguliwa huko ni kivumbii hapaKumbe ni project Tena😀😁, dhini ya kina nani Tena😀😂🤣
Yaani Niku ogope mwana kibaha😀😁, never ever🤒🤣😂Mkipigwaa muanze kusema oh wanajeshi wakorofi
Hapa hatuwataki wenye chuki😁🤒Sio dhidi ya mtu yoyote ile ila si umeanzisha thrd yako 😄 watu wameitikia na kuna waliopigwa ban wakifunguliwa huko ni kivumbii hapa