Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kurudia rudia haya ni dalili ya uoga, alafu ulivyo laini hivyo unajiamini vipi tena?

Hii kukutana mbona unasisitiza sana? Vipi nimo kwenye vigezo nn?
Bro tusi malize maneno, Ina paswa tumalize at once kwa vitendo.
👉Kama vipi Hata chuma zihusike, ukiona fresh.
👉Sipendi upuuzi unao kithiri,
 
Chuki na wewe ili iwe nn? Huwa sinaga chuki, hasira yes huwa ninazo. Unahisi nina hasira na wewe?

Kwa hiyo unataka tukutane for a fight? Unahisi mm ni mtoto mwenzio?
Ume sema huna chuki??
Wewe jamaa ni ngoja tu
Hi tuna itafasiri vipi???, Ningoje nini, Kama vipi action ihusike
👉When you are ready, just tell me.
 
Ume sema huna chuki??

Hi tuna itafasiri vipi???, Ningoje nini, Kama vipi action ihusike
[emoji117]When you are ready, just tell me.
Mm sina haraka, naenda taratibu sana na utaelewa.

Usipanic kabisa. Uliona umetukana hadi wazazi wangu juzi? Uliona nikipanic?

Basi tulia twende taratibu, wewe tena una mambo meusi sana. Basi jua yapo wazi, hao rafiki zako wambea wenzio walishakuchoma.

Mlipiga sana umbea kwa bidada. Sasa mm ndio nilimuambia awapige block baada ya kuona mmezidi. Huwa nauchuna tu maana mengine ni aibu

Utanielewa, naomba usipanic.
 
Dah naona maneno mengii, so sito kujibu tena.
[emoji117]Sina chuki ila naona una jaza upuuzi kichwani mwako.
[emoji117]Niliomba kwa mola wangu, kuwa sito kuwa na uchafu wa Roho[emoji120][emoji120].
Huwa nipo slow, sina haraka. Alafu hizo fight sijui battle achana nazo ni kupoteza muda tu
 
miss you wyatt🤒🤒, a legend whom gave us a suitable performance.
FB_IMG_16935705381167769.jpg
 
Back
Top Bottom