Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Jirani kwemaJiraniii
Jirani kwemaJiraniii
Kapachino tume karibia kibaha, so utu pikee[emoji16][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi utafungwa,nawaonea huruma,mtaenda wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nina mpdf niuachie hapa???
Hakimu nipo hapa karibuni sanaWeka sera kabisa mtu akizidiwa matani asikimbilie kushtaki [emoji1]
Ukifungwa huu unaleta mwingine mpaka wachokeUsha fungwa mzee[emoji2][emoji2], ndo Mana tume kuja na come back part 2
Kiwanja kipya[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Shwariii
Nimewaonea huruma ,haya njooni huku kijiwe kipya [emoji1787]
Mbwa za mnyama au???, Ni hizo pipo za huko mambele[emoji3][emoji3]
Ume wapa jina la kwenda😁😁Hizo hizo people
Ehhh Huku Kuna amani tu 😁🤣Kiwanja kipya[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Natangaza amani 😁😂🤣Shwariii
Nimewaonea huruma ,haya njooni huku kijiwe kipya 🤣
Huku amani itawale😀😁, ili wasi tutafutie sababu 🤐Ukifungwa huu unaleta mwingine mpaka wachoke
Wajumbe vipi Tena😁😀😉Uachiee tuuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ohhh 🏃🏃🏃🙄Nina mpdf niuachie hapa???
Usihofu project yako inaenda vizuri muitikio si haba 😄Wajumbe vipi Tena😁😀😉
Usha Anza mizinguo, Huku amani tu🤒🤐
Kumbe ni project Tena😀😁, dhini ya kina nani Tena😀😂🤣Usihofu project yako inaenda vizuri muitikio si haba 😄
Usiogope mwaya😀😁, Huku amani tu😀Ngoja nijipangeee ...mi nikitupia sionekani tena wiki...
Hi ni kamati ya wajumbe wapya😁😀, watangaza amani🤒Naona kumekucha kumekucha
Mmeingia huku Sasa 😁
Huu Uzi gani Tena jmn
Sio dhidi ya mtu yoyote ile ila si umeanzisha thrd yako 😄 watu wameitikia na kuna waliopigwa ban wakifunguliwa huko ni kivumbii hapaKumbe ni project Tena😀😁, dhini ya kina nani Tena😀😂🤣