Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Rafiki yangu wa kudumu upo?Behaviourist njoo huku ndugu yangu
Rafiki yangu wa kudumu upo?Behaviourist njoo huku ndugu yangu
Ndo mmekimbilia huku?Tumsubiri Mjep na Saint Anne 🤒
Tume anzisha makao mapya ya amani🤣😂, vocha na selfie zihusike 🤒Ndo mmekimbilia huku?
Hiko ulichoandika hapa kimeonyesha umri wako.Bro tusi malize maneno, Ina paswa tumalize at once kwa vitendo.
Kama vipi Hata chuma zihusike, ukiona fresh.
Sipendi upuuzi unao kithiri,
Dah naona maneno mengii, so sito kujibu tena.Hiko ulichoandika hapa kimeonyesha umri wako.
Mm sina haraka, naenda taratibu sana na utaelewa.Ume sema huna chuki??
Hi tuna itafasiri vipi???, Ningoje nini, Kama vipi action ihusike
When you are ready, just tell me.
Huwa nipo slow, sina haraka. Alafu hizo fight sijui battle achana nazo ni kupoteza muda tuDah naona maneno mengii, so sito kujibu tena.
Sina chuki ila naona una jaza upuuzi kichwani mwako.
Niliomba kwa mola wangu, kuwa sito kuwa na uchafu wa Roho
.
Selfika chiefTume anzisha makao mapya ya amani🤣😂, vocha na selfie zihusike 🤒
Ngoja siku nikipata hela😁😁, Nita selfika🤒Selfika chief
Kaa mbali na mali za watu.Yaani Niku ogope mwana kibaha😀😁, never ever🤒🤣😂
Sio kuku wenu wa sinza hawa.Mtetea wa wiki 3 😂🤣🤣, never 🤒🙉
Wala usiogope 😁😁🤒, mi naenda kwa mawardat 🤗Kaa mbali na mali za watu.
Mimi Sina maneno mengi Kama cantry mkuu.
Sinza ndo mnara wa internet huko daslam ??? 😁🤒Sio kuku wenu wa sinza hawa.
Huyu dogo waki Sana mkuu.Naongea na yeye anaanza kutag wengine, alivyo hajiamini
Alafu huyu usimuone wa maana sana, amefanya kuna mtu kapigwa ban
Dah kumbe nawe una chuki binafsi🤒, amani itawale 🙏🙏🙏.Huyu dogo waki Sana mkuu.
Dili naye tu.
Ngojea Dc akudandie wewe!Sinza ndo mnara wa internet huko daslam ??? 😁🤒
👉Niko nanjilinji😁🤒