Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Inauma hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We unaona unamtega kumbe mwenzio anakuona umerukwa na akili!!!

Afu uko beach kavaa [emoji160] nyekundu km anaenda kutambika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shida wengi wanashindwa kuelewa kila mtu na bahati yake ni mbaya kulazimisha kupendwa😬😁😁
 
Shida wengi wanashindwa kuelewa kila mtu na bahati yake ni mbaya kulazimisha kupendwa[emoji51][emoji16][emoji16]

Kabla hujavamia mapenzi ya watu unatakiwa ujipime kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa Antonia lile hips na ile rangi afu atupie [emoji160] moto wake unakuwaje??

Haya mwenzangu na mie huyo dada mbong’oko naye kachokaaaa km betina katupia [emoji160] amtege bwana lahaulah lakwata!!! Bwana nasikia kwanza alitupa simu chini kwa mshtuko ( hii nimetunga) [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaona isiwe shida ka4ward kwa Antonia ajionee mshindani wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km mbwa wa kisomali aliyepigwa na njaa ya vita kali
 
Duh 😂😂😂😂😂ila selfika nimewagawa🙌🙌
 
Naruhusiwa kucheka kwa audio😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom