Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,325
- 2,590
Ohoooo kumbe kuna kigezo kingine tena, siyo miti pekee [emoji23][emoji23] umenifumbua machoTuongezee miti pesa bro [emoji120]
Ohoooo kumbe kuna kigezo kingine tena, siyo miti pekee [emoji23][emoji23] umenifumbua machoTuongezee miti pesa bro [emoji120]
Pame Waka aisee[emoji123]
Kwanza nani anashida sana nahizo mboroou sasa??? Nina uhakika kila mmoja humu anamiliki yake what's the heck with hizi drama zote Antonnia Antonnia Antonnia!!
Kila mmoja ana anayomiliki mnywanii binafsi nashangaa sana haya mambo!
Mambo ni mengii sana yanii weee pitia post za nyuma usichoke utaelewa vizuri kwa kuanzia anzia hapa !! Hii ni post kutoka kwa National Anthem!! Akiniongelea mimi!!
Kumbe unaangaliaga X maana naona X hapo [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Shida Kuna watu wana Pigana vijembe, na iko wazi Wana julikana.
Nafungua code tu😂🤣🤒We umejuaje?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Daah🤣😂, na wanavyo kuwaga naked na bikini zao😍.Na ni beer festival wiki nzima, manzi zinapeleka soju balaa
Huyo mwehuuu uduguuu yee anawaza lodge tu hapo!😊[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani wewe unawaza sodoma muda wote, tukuombee hilo pepo litoke
Ugomvi😂Kuchelewaga nini😁😁
Tena Sio kidogo uduguuu!![emoji15][emoji15][emoji15] Mazito kumbe??
Daah[emoji1787][emoji23], na wanavyo kuwaga naked na bikini zao[emoji7].
[emoji117]Soju SI kinywaji Cha Korea au??
Mi Wana niachaga hoi wanavyo kuwa wamevaa 👙, wengine ndo naked kabisa😂😁Eeeeeh, hiyo ni bapa times two
Naamini wewe ni mtu mwema ila kwa nini unaishi kwa uhasamaUgomvi😂
Hizo habari ulizosema majuzi za mimi kutembea na Graha humu je ni Kwamba unanipenda umeamua kunizushia tu ili unichafue humu au shida ninini hasa??? Mbona tulikua vizuri humu nini kilichokusibu mpaka kunikalia kooni hivi???
Another weekend View attachment 2728084
Tuliaaaaaa nikuoneshe mchawi kwanzaaa
Mi mwema tu, jf nzima[emoji23][emoji16][emoji855]
Nimemiss kuona cake zako madam, kitambo kweliNi upumbavu na uzwazwa wa hali ya juu
Kama wamekosa malezi.
Kila siku kutupiana vijembe.
Wanatudhalilisha wanawake wenzao.