Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,857
- 136,481
Aiseegoja nikajenge taifa taifa, kwanza.. wengine hatujui kusema uweongo..
,Basi Dunia haina siri,na watu hawana siri,na siri hakuna siri,
Co nilikuwa nashangaa watu mnadate inakiwaje unatangaza kuwa unadate na mfulani??
Sasa nimejua kumbe kuna udukuaji

