cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Yaani tushakua mapopo
Kuna mtu nampanga piem nimchune![]()



wee huogopiii???Yaani tushakua mapopo
Kuna mtu nampanga piem nimchune![]()



wee huogopiii???Sio KweliIla mnazionaa text zetu PM?
Sitaki kuaminii mbna.
Hapo sawaa!!Sio Kweli
aje tu sijabishana nae siku nyingi![]()



una mikwara sana ujue🤣Ipo siku yako hutaamini nakwambia![]()
una mikwara sana ujue![]()
kwanini unionee huruma sasa😅 sijamchapia badoNakuvutia kasi kuna muda nakuonea huruma
pole sana aisee,nimepata msiba😒
kwanini unionee huruma sasasijamchapia bado
Asante, usingizi hamna. Sijalala hii siku ya pili sasa, natakiwa kusafiri saa 10 hapa.pole sana aisee,
nimepata msiba![]()
aisee😂 kumbe ana pigo za kidarslamatakavyokubastisha
Asante wifi yangu.Pole wifi weka namba tukutumie rambirambi