YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Angalia PM yako
Hivi ni kweli mnasomaga msg zetu piem [emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia PM yako
Sio KweliHivi ni kweli mnasomaga msg zetu piem [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huogopiii???Yaani tushakua mapopo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu nampanga piem nimchune [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mnazionaa text zetu PM? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio Kweli
Sio KweliIla mnazionaa text zetu PM? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki kuaminii mbna.
Hapo sawaa!!Sio Kweli
Sio Kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huogopiii???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee utakufa uko chwandaaaaa.Nimuogope wakati nataka maokoto mie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
aje tu sijabishana nae siku nyingi[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee utakufa uko chwandaaaaa.
una mikwara sana ujue🤣Ipo siku yako hutaamini nakwambia [emoji23][emoji23][emoji23]
una mikwara sana ujue[emoji1787]
kwanini unionee huruma sasa😅 sijamchapia badoNakuvutia kasi kuna muda nakuonea huruma
pole sana aisee,nimepata msiba😒
kwanini unionee huruma sasa[emoji28] sijamchapia bado
Asante, usingizi hamna. Sijalala hii siku ya pili sasa, natakiwa kusafiri saa 10 hapa.pole sana aisee,
nimepata msiba[emoji19]