Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole sana uncle!
Watu wengine wabaya sana, wanapenda kutaabisha wengine tu.. Report kwa mod, asije tumia ID hiyo vibaya ukaonekana ni wewe..

C.c Maxence Melo
C.c Active

Kuna mtaalamu huko kaiba ID ya mtu, lakini pia anadai anasoma PM za watu humu
Thank you

Moderator naomba mnisaidie , kuna mtu anatumia account yangu na kuibadilisha id kuwa La bell .

Active ,
 
Nyie watu hamlaliiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee Cute Wife kesho utachelewa kufungua frame ya vijoraaa.

Au umeshiba maokotoooo??
 
Nyie watu hamlaliiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee Cute Wife kesho utachelewa kufungua frame ya vijoraaa.

Au umeshiba maokotoooo??

Yaani tushakua mapopo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu nampanga piem nimchune [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom