Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,314
Uli niahidi jana, uta selfika leo🤗Mnasema kweli??
Uli niahidi jana, uta selfika leo🤗Mnasema kweli??
😅😅😅 hatusemi uwongo.. una jambo mfate anaingilia PM ya mtu bila shida anakupa pdf lakoMnasema kweli??
ngoja nipande toyo hapo iyunga chap🤣Njoo ndo natoka naelekea mbeya carnival [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Some how, Ali dukua I'd ya Tinsley ile ya kwanza-.Nijibu kwanza, huyo mdukuaji ni kweli??
😅😅😅😅... Wenye mtandao waje watutoe hili duku duku , huyu bana Rabbitus anasema anaingilia PM za watu.. na hivi sasa kateka PM ya Tinsley.. kaibadilisha jina na kuwa La bell kwa kutumia trick za social engineering..Huu Ni udhaifu, na wenye mtandao wapo tu😂😁🤒
ngoja nipande toyo hapo iyunga chap[emoji1787]
Hili suala Mhariri, Cookie, na Maxence Melo Ina bidi wali angalie.
Selfika Sasa🤗, uli niahidi jana.Ok,basi pole yake,aendelee kupiga chabo.
inasikitisha sana, na anavimba anasema huwa ana hack PM za watu.. na kusoma message za watu..Hili suala Mhariri, Cookie, na Maxence Melo Ina bidi wali angalie.
👉 Kwasababu haiwezekani mtu achukue umiliki wa I'd yako, bila ridhaa yako mwenyewe.
sasa si hapo hapo tu🤣 nakuja tughimbe kwani room shingapi🤣Wahi nina mpango wa kusepa niende Tughimbe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu ana jiita mtoto wa kiuke, badala ya kwenda ku hack account za benki.inasikitisha sana, na anavimba anasema huwa ana hack PM za watu.. na kusoma message za watu..
😅😅😅😅 huenda JF wanatunza hela siku hizi huko PMHalafu ana jiita mtoto wa kiuke, badala ya kwenda ku hack account za benki.
👉 Ye kaji pinda akaunti za jf😁😂
sasa si hapo hapo tu[emoji1787] nakuja tughimbe kwani room shingapi[emoji1787]
kwamba ndo nitaogopa?🤣Niko na kaka ako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kina Snowden Wana kiwasha, moaka Wana kimbia nchi.😅😅😅😅 huenda JF wanatunza hela siku hizi huko PM
Hana Akili 😂😁😁Ah kweli , nayaacha tu yapite
Hakuna jipya hapa duniani .
Pole sana uncle!🙏🙏
Asante sana Uncle , yaaani hadi najuta mie .
Sina hamu .. Nilivyo na roho nyepesi sasa .