Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,775
- 182,918
Ooooh!! Okey.Najua mie
Ooooh!! Okey.Najua mie
Lipi hilo?Ni jambo!
Nakwambikinia siwekenezi kiikinindi
Hahahaha kukunumbe bakanasi usijakanali
Wekenewe huwekenezi kusekenema ikinivi😁😁😁Utoto raha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nini
Lipi hilo?
Utoto raha.
Nyoo na wewe kwa hiyo sura kuanzia leo hata shikamoo yangu sitakuwa nikikupa,, toto kabisa wewe..
Mambo toto
Toka huko mafichoni, ambia hiyo mutu kuwa uko na nduguzo kipande hii
Hahah kwani kaweka picha gani?
Ile ambayo huwa ananyonya dole gumba?
Yani nimeona notification ya quote; nimetoka dk O kurudi nakuta kushney babhuji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua utatokea January halafu haitokuwa na maana tena. Kumbe upo mama!!
Nyoo na wewe kwa hiyo sura kuanzia leo hata shikamoo yangu sitakuwa nikikupa,, toto kabisa wewe..
Mambo toto
Hahaha...hebu ngoja ni [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] maana nimetoboa siri yetu wawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi kumbe kananyonya vidole?? Khaa kweli humu tunachat na vifaranga kabisa!!
Kuna picha ameweka ila amefuta