Selfika na JF: Snap it. Show it

Udugu kesho nidai vocha sawa?? Mwanamke wa shoka unajua wewe!!! Una maadui wengi lkn umekataa unyonge yani unashambuliwa na gender zote na bado uko front unarusha makombora so mchezooo!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haina kufeliiii.
Ni ngadu kwa ngaduu.
 
Hapo si wamejipeleka wapate cha kuanzia shougaaa wanaona wakikukandia ndio watapata soko!
Cha kushangaza hadi ratiba zao za kuliwa unaambiwa kuanzia wa kuliwa Gym hadi wa kuachwa wamelala ndani badae ndio wanaenda makwao mxxxieeww!!
Shouzzzz mbna ubuyuu wa motoooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu taarifa zake sina.
 
Ongezaaa sautiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtoto wa kiume unasubiri maokoto ya mwanaume mwenzio kweli?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa kina dr kumbuka waliochangamka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena anasisitiza boss unaweka saa ngapi?? Silali leo nasubiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…