Selfika na JF: Snap it. Show it

Y'all know me, still the same OG
But I been low-key
Hated on by most these niggas
With no cheese, no deals and no Gs
No wheels and no keys
No boats, no snowmobiles and no skis
Mad at me 'cause I can finally afford to provide my family with groceries

Intelligent businessman unajua hii ngoma ya nani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Dj waleteeeeeeee!!!
Hivi kwann watu hawajiamini na misura yao iliochachuka mpk watumie pic zetu wapenzi wetu jamani khaaaaaa!!!

Wawe wanatuma mapanki yao Mxxiewwww
Hapo si wamejipeleka wapate cha kuanzia shougaaa wanaona wakikukandia ndio watapata soko!
Cha kushangaza hadi ratiba zao za kuliwa unaambiwa kuanzia wa kuliwa Gym hadi wa kuachwa wamelala ndani badae ndio wanaenda makwao mxxxieeww!!
 
Sio Jay z?? πŸ€’πŸ˜‚
 
Oyooooooooo!! Bora mana alikunanga udugu mpe vidonge vyake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawezi ninangaaa, huwa anatafuta ahueni ya ndoige niliyempa mwaka juziiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anatuliaaa hukooo, akikumbukaa anarudi tenaa na bado namsakazaaa vile vileee.
 

Nakazia aweke pic [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Udugu kesho midadi vocha sawa?? Mwanamke wa shoka unajua wewe!!! Una maadui wengi lkn umekataa unyonge yani unashambuliwa na gender zote na bado uko front unarusha makombora so mchezooo!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee uduguuu sihitaji vouchaaa zamtu baba chanja anajiweza sana tu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!! Hio sandakalawee iweke hapaaa afu Vocha za wengine hazinogiiii waache kuiga kunya kwa tembo!!

Kwanza mbona namie nilikuaga naweka vocha humu hilo jina la boss Lady unadhani lilitoka wapi???

Wakwendreeeee zao wakajipange upyaaa!!
 
Hio ipo sana humuu shoss akee hujaizoea tu??!
Khakhakhaaaa!! kwa unaa uliopo humu walikua wanamtumia sana picha zangu na blah blah kibaoooo eti wanamshauri nyieeee! Afu anayaleta kama yalivoooo!! [emoji4][emoji4]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sio Selfika, JF yote iko kiganjani kwangu, Mello na moderators wake wote wanafahamu hilooo.

JF hainisumbuii wala hainistuiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…