Selfika na JF: Snap it. Show it

Hujambo


Nimekukunbuka mnooo.[emoji8][emoji8][emoji8]
Ndio kama unavoona hapa best sijui hata niseme sijambo au najambo!!😊😊

Miss you too rafiki kimya sana!!
Nimefurahi kukuona tena selfika mpendwa i hope all is well with you!!
 
Wee sema kweli?? Udugu cocastic emu tupia hiyo pic na me nione bana we wa kuninyima me pic?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu pic zangu zilisambazwa had kwa member wasio humu, hebu uliziaaa utazipataaaaa bhanaaa.

Sahivi nimenenepa, nikituma za sasa mtu atakosa evidence, tafuta za zamaniiii uduguuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jirani usijali. Tuliza moyo wako.
Mie sinaga tabu namtu Humu jirani ukiona mimejibu jua imekua too much!! Watu wana fyokofyoko sana Humu wanataka kumpangia mtu kukoment humu!! Wao wakipapatuka wanapenda ufyanteeee !! Bange mbaya sana!
 
Kumekuchaaaaa!!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijaona wa kunihonga?? Hizi vocha za jero za humu?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenyewe wanasubiri mjep awape!!

Wakinga hatuamini kwenye kuhongwa, sisi ni ma fighter njoo Mwanagati uone mijengo tulioporomosha afu mtaa wote mademu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu hebu tujie taratibuuu.
Khaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…