Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

@nuzul

Sema Kuna watu mabwege kweli😂😁, una iba I'd ya mtu ili iweje😂😁
dogo msengge sana.. anakaba hadi kivuli maskini katoto ka watu kateka ID kabadilisha password alafu kagoma kukarudishia.. kameishia kuwa kapenzi katazamaji.. Humu watu kama wanatongoza waende kivyao.. wasienze siasa chafu.. Mie sijawai date na mtu humu.. huko kitaa wadada wakali kibao.. why nije ku bet humu 😅😅😅😅😅.. hata huyo Depal mie nimejuana nae nje ya JF ndio nikaja Jf.. sasa hawa washirikiana wanakunya kunyaa
 
Mwambie kwanza ajitahidi anitie mimba ya twins nishinde nakula embe mbichi na juice ya ukwaju [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuna miezi 4 hata mimba hakuna sa ndio nini??[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23]
 
Back
Top Bottom