Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,285
- 108,302
Kama hili ni balaa tupu...View attachment 1278537
Hili dude noma sana Mshana. Sasa kuna siku niko Mbalali shambani kuna jamaa mmoja nilikutana naye alikuwa na Landcruiser mkonge lina Engine V8 can you imagine that mzee ???? Huo mlio siyo wa dunia hiiThe beast

Yeah huwa na mix pia,lakin sio mpenzi sana wa mozzarella
Siku hizi hupigi tena mishemishe za biashara?Hapana zangu mwenyewe
Hili dude noma sana Mshana. Sasa kuna siku niko Mbalali shambani kuna jamaa mmoja nilikutana naye alikuwa na Landcruiser mkonge lina Engine V8 can you imagine that mzee ???? Huo mlio siyo wa dunia hii
Stop insisting, i wont budge.Mimi ni tinted yani.
Nafanya nyingi tuu ndogo ndogoSiku hizi hupigi tena mishemishe za biashara?
Niite tuu hapoHapa najiuliza nilianzishe na Konyagi,Belaire,Marques de Negra au nikalView attachment 1278555e mmea niachane na haya masumu.
Wanataka nipigwe banAah hawa wana tu.. Hawana noma kabisa...![]()
Usijali chief, we usiache kunifanyia maombi tu.....Duh! Sawa mkuu japo kinyonge sana.




Karibu nimeyaacha mezani naenda zangu upstairs kula mmea chini nimeletewa gubu nimeambiwa marufuku.Niite tuu hapo