Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ooh kumbe ni yale mambo ya hovyo!

Enhee nami file langu likasenaje mwenza?[emoji23]

Mke mwenza wewe hujatajwa ila kuna file lingine ninalo linasema wewe ulikuwa na boss wa voucher nikashangaa!!!

Kwa yule mume wetu nimetajwa si unajua bi mdogo kwenye issue km zile kukosekana ngumu!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ajee ainunuee, tena yeye atainunua kwa dollars.

Piga bei, daka pesa, unafungua ingnee.
Yake Ile inamtosha

Ila cuzo hii itamfaa kukuza hip-hop yake


Mimi nawaza,napiga bei na pm zote.
Namtoa mchumba wangu tu ndo naondoka naye.
 
image-2023-08-22-20:28:59-089.jpg

Hizi ndo zilikuwa taarab, mtu wa mwisho kuimba taarab ni patricia hillary,, hawa wengine hapana[emoji2219][emoji2219]
 
Niko nyakiboooo kwetuu, tatizo babuuz watoa ajira wako wengi, sikujua mna refer yupiii??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lol nilijua upo Dar nikuletee ile ishu yakoo kesho naenda huko! Basi Nitamuachia mwanasheria wangu Kapachino Siku ukienda utaikuta kwakeee!!

kumbe mna mababu Wengi humuuu lol 😁!
 
Yake Ile inamtosha

Ila cuzo hii itamfaa kukuza hip-hop yake


Mimi nawaza,napiga bei na pm zote.
Namtoa mchumba wangu tu ndo naondoka naye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ntatoa na bonus, avatar ntakua namsaidia kuweka ili auze vizurii.

Woiiiiiih
 
Back
Top Bottom