Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe utaumwaga huku unacheka watu watachukulia utani, huu mdude apewe mwamba wa Kaskazini awasuuze vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiiiih
Kumekuchaa sasa, khaaaah
 
Aaliyah unacheka nini?? Nasikia watu wanashinda kkoo wanapita kila duka na pic yangu kunikagua khaaaaaa!!! Jf kuna vituko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nyie mie ndiye yule mama Siha aliyekua anaongea na Waziri mkuu hata msijichoshe
😂😂😂Jamani na jua hili linavowaka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba tuongozanee.
Nakaaje jobless, na ajira zipo za kushatoo humu.

Ukipigwa pic ikirushwa huku usinune na ajira hupati mpk utumike kwa babu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie hata sikuelewaa, mwenzenu naanza kuzeeka sasa, mie sio wa kushindwa na codes lol
Wewe huyooo usielewee !!!

Weee kwanza uko Dar au Nyakiboo yakwenu huko 😊???
 
Ukipigwa pic ikirushwa huku usinune na ajira hupati mpk utumike kwa babu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajeee, atanikula nikisha sign mkataba, na salary ya 6months nikishatafuna.

Sitapeliwi kizembee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajeee, atanikula nikisha sign mkataba, na salary ya 6months nikishatafuna.

Sitapeliwi kizembee.

Wewe kiburi utapigwa pic na kazi hakuna!!! Babu anataka uchezee upara wake kwanza ndio upewe ajira eboooh!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom