Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshee mie, khaaah

Hataki hata kuisikia selfika jana kashindia Pepsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Humu kuna kila aina ya burudani, kuna mtu nimepata picha zake nyie khaaaaaaa!! Selfika oyeeeeee!!

Yote haya umenisababishia wewe kunileta huku, umeniongezea maadui udugu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu niwachee kwanii, mbavu zinauma kwa kuchekaa.

Nauza I'd, nataka kuhama Jf Mazimaa
 
Umenitajia minyama hadi udenda umenitoka, unajua Babu yako ninavyopenda nyama nyingi[emoji39]

Bahati nzuri Wajukuu zangu wote nilishakula mahari zao [emoji2957]

Babu unajilia kimya kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu m-bad wewe!!! Hutumii nguvu kuwavua
 
Hey famz!!!

Nauza hii I'd yangu, bei nafuu yaan sawa na bure kabisaa,
Wahi sasa ujipatie I'd kubwa na maarufu kwa bei nzuri, si ya kukosa.

Kwa mawasiliano zaidi check PM

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Penseli akiuza yake nishtue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inaonekana ina vitu vingi sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu niwachee kwanii, mbavu zinauma kwa kuchekaa.

Nauza I'd, nataka kuhama Jf Mazimaa

Uza uone km ujafa na njaa, mjep wa kukuhonga vocha za bure utamkuta wapi?? Na burudani za babu wetu wa bush utaziona wapi?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nasema hapanaaa[emoji16]
Watu na shemeji zetu mjini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na babee zetu mjinii.
Najua itanifikiaa tyuuh, maelezo yalipitishwa kwa wotee.
Muhimu yazingatiwee.
 
Uza uone km ujafa na njaa, mjep wa kukuhonga vocha za bure utamkuta wapi?? Na burudani za babu wetu wa bush utaziona wapi?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo Mjep ndo anafanya nitokee JF, kasema kuanzia sasa hatonipa vocha na hana.

Sasa si bora niuzee, nipate pesa nipite hiviii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo Mjep ndo anafanya nitokee JF, kasema kuanzia sasa hatonipa vocha na hana.

Sasa si bora niuzee, nipate pesa nipite hiviii.

Shem kugawa vocha kote lkn kwenye mkeka kapewa demu mmoja?? Nakata rufaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Babuu wa bush yupii tenaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili inawaza mauzo tyuuh hapa. Nitafutie wateja huko, eboooh

Babu mikoti nawe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenye migambuti, coca koma usinitafutie balaa mchana wote huu mwenzio sijakula na shem ako hapokei simu sijui nitakula nini?
 
Back
Top Bottom