cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
Wewe kiburi utapigwa pic na kazi hakuna!!! Babu anataka uchezee upara wake kwanza ndio upewe ajira eboooh!!![]()




hapanaa siweziiiiii.Wewe kiburi utapigwa pic na kazi hakuna!!! Babu anataka uchezee upara wake kwanza ndio upewe ajira eboooh!!![]()




hapanaa siweziiiiii.Aje amnunulie cuzo ID.
Na mimi sijui nipige bei ya kwangu



ajee ainunuee, tena yeye atainunua kwa dollars.Hujambo..Ajira Gani Tena majobless tupo huku
Ooh kumbe ni yale mambo ya hovyo!
Enhee nami file langu likasenaje mwenza?![]()




Sijambo mambo vipHujambo..
Yake Ile inamtoshaajee ainunuee, tena yeye atainunua kwa dollars.
Piga bei, daka pesa, unafungua ingnee.
Salama kabisa jiraniS
Sijambo mambo vip


Wew wapo wengi wanaimba bhana😀View attachment 2725161
Hizi ndo zilikuwa taarab, mtu wa mwisho kuimba taarab ni patricia hillary,, hawa wengine hapana![]()
Huyo mtu akili zake ameweka rehani
Lol nilijua upo Dar nikuletee ile ishu yakoo kesho naenda huko! Basi Nitamuachia mwanasheria wangu Kapachino Siku ukienda utaikuta kwakeee!!Niko nyakiboooo kwetuu, tatizo babuuz watoa ajira wako wengi, sikujua mna refer yupiii??
![]()
Yake Ile inamtosha
Ila cuzo hii itamfaa kukuza hip-hop yake
Mimi nawaza,napiga bei na pm zote.
Namtoa mchumba wangu tu ndo naondoka naye.




mie ntatoa na bonus, avatar ntakua namsaidia kuweka ili auze vizurii.Na upara ulivyojaa nongo sasa?!!!![]()




wee niache uduguuu, kitakukuta kitu.Yaani sikuionaNdio umeiona ss hivi?![]()
Mie hizo ajira za babu wa michongo hapanaa uduguuu!😊😊Babu anatafutia watu ajira wewe hutaki?? Me nataka nipeleke maombi nimechoka kuzurula juani kuchinga vijora![]()
Na wanaume km mabinti wana mafumbo km dr Kumbuka![]()




na misago wako humu, tangu jana wameikimbia selfika.