cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,999
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi ni hatariii tupuu.Kipenseli ana id nyingi huyo kuna moja iko piem imejiongelesha wee me naichora tu!! Anavyoniona humu jukwaani najizima data anajua na piem atanikuta hivyo, msg moja tyr nishajua huyu Y2K sijui kaja na id nyingine kunisumbua tu!
Afu kiliacha namba zake za simu, ningekua mafia ningempa Kantri wamalizane lkn hata Kantri mwenyewe hajui km hata namba ninazo!! Nachukulia ile ki sister Marry wengine bado tuna utu na utulivu