Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivo kula wew 😀😀
😅😅😅 basi sawa aunt .. nimalizie mlo hapa nikakae natazama majani tu
Screenshot_20230822-101424.png
 
😅😅😅 Mambo haya nimewaachia, kuna wapuuzi wengi humu wasio weza ku reason. Ukija mahakani nakutupa dk ya 0.. nina screenshot za kutosha ( folder zima ). Ukicheza na fisi unaonekana na wewe fisi ujue
Mjomba achana nao code zishafunguka mchawi kashajulikana tunacheka nae tu hapahapa anatuchora tu 😂😂😂 tunza folder hizo nywea maji maisha yaendelee
 
Mjomba achana nao code zishafunguka mchawi kashajulikana tunacheka nae tu hapahapa anatuchora tu 😂😂😂 tunza folder hizo nywea maji maisha yaendelee
😅😅😅😅 Naenda kuzi print, alafu nampa mtu wa chakula afungie vitumbua na mihogo.. Imeisha hiyo tuendelee kufurahi aunt.. maisha ni furahaa
 
Back
Top Bottom