Selfika ilikuwa poa I'd mpyaaa ndio mekuja iharibu na kuwa kijiwe cha misuto.
Huyo dogo niliwaambia hapa, watu wakawa wanamuogopa kumchana. Nimemchana naona kasepa mazima Ila kaacha damage
Depal hata simjui vizuri anafananaje, same na darlin.
Ndo nani huyo Coca?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada kweli wee uko hapa JF na humjui Kidney?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi,haina shida wakukesha matanga tupo,
Tuandae na sare za vijora[emoji40]
Halafu Cute Wife huyo aliyekuambia sasa nipo mfupi hujasikia alivyo yeye dah kwanza namdai hana hela anaajiri watu hajajipanga mkienda sasa ofisini mwa watu wanawakimbia na marafiki zangu wote waliniblock kisa hiyo kazi nikapauka nikasema bora kazi yangu ya udalali mwanaume anasura ya kizamani zamani , anavaa nguo za watu wa zamani yaani hujui ni mzee au nikijana
😅😅😅 mie nataka matako yake tuKwa huyu mshenzi fulani ndio kanichafua humu twende tukamnyonye damu na familia zake
Afe Kwa lipi Sasa Jamani anatukosea sana 😂 kaleta mafile alafu anaogopa au ni Nini 😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie asije kufa bana ngoja nimuache me nasali
Haya bhana,kwaherini.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie asije kufa bana ngoja nimuache me nasali
Mimi sio kimbau mbau mie chinene halafu mfupi ila umekosea mimi sio mweusi hapo hapana ukipata jingine shuka mwaya hapa hapa kiisheAhsantreeeeeeeeeee!!! Pdf liko sawa
Sasa ngoja nimwambie muhudumu aniongezee shots moja niendelee kutoa wenge nitiririke [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Halafu Cute Wife huyo aliyekuambia sasa nipo mfupi hujasikia alivyo yeye dah kwanza namdai hana hela anaajiri watu hajajipanga mkienda sasa ofisini mwa watu wanawakimbia na marafiki zangu wote waliniblock kisa hiyo kazi nikapauka nikasema bora kazi yangu ya udalali mwanaume anasura ya kizamani zamani , anavaa nguo za watu wa zamani yaani hujui ni mzee au nikijana
😂😂😂😂Bush men tenaNi mtu mzima kisheti mwenyewe nimemuona shost ni wale bushman [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eh! Nimemaliza aisee add na kile kipara kama asingenisema wala msingejua maana mie sipendi kumsema mtu humuNi mtu mzima kisheti mwenyewe nimemuona shost ni wale bushman [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa wenzio wengine waliovamia ndo shida ikaanzia hapo.Me id yangu sio mpya sema mitaa hii nilikua sikatizi nipo toka 2015 upo?? Nilikuwa nashinda kwa lala 1 na kina hearly, heaven sent wengine nishawasahau mana niliitelekeza jf kwa muda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanichoshaaa anavyo hadithia umbea hata sijaamini km yeye.Shem coca kakuharibu hivi hata mmelala leo kweli??
Yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shem kachachuka [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa humu tunawagombania wakinani kwani kuna akina nani??Sasa wenzio wengine waliovamia ndo shida ikaanzia hapo.
Ila kijiwe toka kianzishwe na mshana 2019 kilikuwa poa Sana.
Nami nilipoteaga nikaibuka 2022. Nikawa mgeni Tena.
Ila all in all nilichokiona na watoto wa kiume wamechangia pakubwa Sana vuruga amani
Na Huyu smart na country na wao ndo wamechangia pakubwa sana. Maana ndio wanaogombaniwa kiasi kikubwa.
Tafuteni hela dada zangu! Acheni mabifu ya kugombania mabwana mnajichoresha.
Hakuna nayemjua hata mmoja, huyo dogo ni mjinga flani hivi. Siku akirudi mniiteHaya maelezo bado hayajaniingia emu njoo kwa mara nyingine nikusikie tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afe Kwa lipi Sasa Jamani anatukosea sana [emoji23] kaleta mafile alafu anaogopa au ni Nini [emoji3]