Uduguuu muambie Mr kahawa achanganue files vizuri, naona km anataka kutupiga chenga ya mwili,
Mwachiluwiiii ni kidagaaa wala hana jambo lolote LA kutustuaa, awatajee mapapa bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu wangu leo watu uko nao wima wimaa.Mwachi kwanza namsikiliza piem utetezi wake, namtafutia muda kwanza nafanya maokoto ya faster ya kuja ku- bang na vigagula na mapapai leo live
Huyo nation alete file la kueleweka si kataka kurithi mikoba ya Koffi Annan afunguke sasa aeleweke lasivyo tunamkaanga mwenyewe
Kuna nini kinaendelea huku?Namshukuru Mungu niko poa
Niambie madam
Humu rafiki yangu hapaeleweki vizuri, story kamili unaweza kupata kwa cocastic au Cute Wife mimi nilikuta mambo yamechemkaa balaaKuna nini kinaendelea huku?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unayawezaaaa kwa kwelii.Humu rafiki yangu hapaeleweki vizuri, story kamili unaweza kupata kwa cocastic au Cute Wife mimi nilikuta mambo yamechemkaa balaa
Ila kwa ufupi inaonekana kuna member wana group zao huko pm wanawasema na kueneza mambo kwa kuwazushia baadhi ya members humu kuwa wana mahusiano au wanakulana na blaa blaa kibao
Hayo mambo yamepelekea kukosa utulivu humu ndani kiasi ambacho kimewakasirisha wajumbe kwa hiyo wamekusudia na wameanza kulipua mabomu
Kumbe, asante sana maana nilikuwa sielewi. Samahani lakini kwa usumbufu.Humu rafiki yangu hapaeleweki vizuri, story kamili unaweza kupata kwa cocastic au Cute Wife mimi nilikuta mambo yamechemkaa balaa
Ila kwa ufupi inaonekana kuna member wana group zao huko pm wanawasema na kueneza mambo kwa kuwazushia baadhi ya members humu kuwa wana mahusiano au wanakulana na blaa blaa kibao
Hayo mambo yamepelekea kukosa utulivu humu ndani kiasi ambacho kimewakasirisha wajumbe kwa hiyo wamekusudia na wameanza kulipua mabomu
National Anthem alilewa kidogo late night akaanza kulipua ameahidi leo akipiga ka ulanzi vizuri kufikia kiwango cha harmonize atatulipua mmoja baada ya mwingine ili tukae sawa na amani itawaleHumu rafiki yangu hapaeleweki vizuri, story kamili unaweza kupata kwa cocastic au Cute Wife mimi nilikuta mambo yamechemkaa balaa
Ila kwa ufupi inaonekana kuna member wana group zao huko pm wanawasema na kueneza mambo kwa kuwazushia baadhi ya members humu kuwa wana mahusiano au wanakulana na blaa blaa kibao
Hayo mambo yamepelekea kukosa utulivu humu ndani kiasi ambacho kimewakasirisha wajumbe kwa hiyo wamekusudia na wameanza kulipua mabomu
HeeUkalale sasa mlongo maana umekesha
Umenifundisha umbea nimeanza kufukuzia nyendo zako 🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unayawezaaaa kwa kwelii.
Figo ini ni akina nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada wee mtakatifuu, heka heka hazikufaii.
Kametoboa hapa hakajafumba jicho hata kidogo🤣🤣🤣Hee
Kamekesha kumbe !
Inabidi tukarudishe chuo🤣
Usijali madam namimi nimefundishwa umbeya na cocastic 🤣🤣🤣Kumbe, asante sana maana nilikuwa sielewi. Samahani lakini kwa usumbufu.
Hivi sisi nani ametusingizia Mjep?Humu rafiki yangu hapaeleweki vizuri, story kamili unaweza kupata kwa cocastic au Cute Wife mimi nilikuta mambo yamechemkaa balaa
Ila kwa ufupi inaonekana kuna member wana group zao huko pm wanawasema na kueneza mambo kwa kuwazushia baadhi ya members humu kuwa wana mahusiano au wanakulana na blaa blaa kibao
Hayo mambo yamepelekea kukosa utulivu humu ndani kiasi ambacho kimewakasirisha wajumbe kwa hiyo wamekusudia na wameanza kulipua mabomu
AiseeKametoboa hapa hakajafumba jicho hata kidogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waache tu mdogo wangu Mungu atawahukumuHivi sisi nani ametusingizia Mjep?
Tumuweke kwenye toba Mungu amrehemu😂😂😂
Ngoja nisomeHata mimi aisee
😂 kuna balaa humu ndani. Mimi sijisikii vizuri naingia huku nakutana na vichambo tena😂National Anthem alilewa kidogo late night akaanza kulipua ameahidi leo akipiga ka ulanzi vizuri kufikia kiwango cha harmonize atatulipua mmoja baada ya mwingine ili tukae sawa na amani itawale
Ms eyes
Wana balaaNgoja nisome
Labda ntaambulia Chochote
Ila naona nyota tu[emoji23]
Nataka niwaombee tobaWaache tu mdogo wangu Mungu atawahukumu