Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah[emoji38][emoji1787][emoji23][emoji23]
Nyie

Tunatendeshana dhambi asbh na mapema hii

Kwani hivi mnawasema akina nani?
Hebu wekeni picha tuone
 
Pacha ndio naingia sasa hivi, what's wrong jamani?
 
Afu hiki kipande nakihitaji maelezo yake vizuriiiiiiii!!!! Hapo ninapopigwa na Kantri kasema Penseli na Jack kasema nani?? Yaani uliweke kwa mpangilio ili nishuke nao vzr
 
Afu hiki kipande nakihitaji maelezo yake vizuriiiiiiii!!!! Hapo ninapopigwa na Kantri kasema Penseli na Jack kasema nani?? Yaani uliweke kwa mpangilio ili nishuke nao vzr
Uduguuu muambie Mr kahawa achanganue files vizuri, naona km anataka kutupiga chenga ya mwili,

Mwachiluwiiii ni kidagaaa wala hana jambo lolote LA kutustuaa, awatajee mapapa bhana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…