Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

sasa yeye kujifanya anajua ya wenzie, kumbe akipewaga story uchwara na midosho wenzake, wima wima kusambaza pm za watu,

Kumbe anapewa za uongo, akat yeye ndo anajipambanua wazii, ashukuru mie nilimpa hints za kuwa JF, mbna angeyavagaa vibayaa, afu sahivu anajiona mjanjaaa, namtazamaa nachekaa tyuuh

Wee uduguu akeeeeeee!!! Walete kati ajajajaahhh!!!
Sasa hao midosho wenyewe nao khaaaaaaa!! Me kwanza bado siamini yule mtu mbona sura chachu sana km kalamba unga wa misukule nyie jf kuna viumbe vya ajabu khaaaaaaaaaa!!!

Sasa hilo mitrakooo bwimbwilu linavyojiosha kumbe linapumuliwa
 
uduguuuu JF wapo wengi mnooo. Ukipewa list utashangaaa.
Tunawastahiii tyuuh.
 
uduguuuu tumuachee na maisha yake, ananiachaga hoi na kujifanya mjuaji, mara katusua, nyie huwa mbavu zinauma kwa kuchekaaa,

Apeche aloloo ×2

Kutusua ya nyookoooo!!! Kutusua kwa kushinda piem za wanaume wenzie labda

Waliotusua wote ss hivi vacay, emu nikazane kuuza vijora nijipeleke Ibiza mamaeeh watu wajinyonge vzr khaaaaaaa!!!

Kwanza nimekumbuka ngoja niselfike moja niliyokua hapo kigamboni nikila bata udugu tulia nikubless
 
ewaaa fanya wepesi nasubiri hapa 🤗🤗
 
Back
Top Bottom