Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itafahamika tyuuuh.
Wanakera sana aiseeee!!! Basi hawajui yani muda wote wanapambanisha watu sema Mwachiluwi aje atupe maelezo ya kutosha
tunapasua hapa.. ili tuwe na amani kama zamani warembo wetu.. sio inakuwa mnagombanishwaaa na viwanda vya uwongo.. 😬😬
 
Wanakera sana aiseeee!!! Basi hawajui yani muda wote wanapambanisha watu sema Mwachiluwi aje atupe maelezo ya kutosha
Yaan huyuu alivyo tajwaaa mie roho kwatuuu, na hajatajwaa kwa bahatii mbayaaa, huyu ndo ataeleza yoteee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasema fumua woteeeeee, kuna I'd zimejoin 2022/2023 hizi ndo zilizokuja kuharibu selfika,
napita nazo hizo.. mie uzuri humu wote watu wangu.. napata maushahidiii mwaaa.. mtu akibisha namuambia hadi lini na mda gani na ni nani ,😅😅😅 .. sijui ugomvi na mtu.. ila hapa nasema kweli mtupu.. na kwa kumkera mtu nakibisha namtumia message za demu wake.. ndio ataelewa sitanii 🤣🤣🤣
 
mshamba_hachekwi chuma mpya hio😂😁
IMG-20230818-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom