Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Not jf! Huyu alikua insta enzi izo alikua Ni mwanafunzi mipango dodoma!

Ni 7 years back.

Jf toka inni anipige na kitu kizito Sasa hivi najua wote Ni manjemba tu humu ndani kasoro Cute Wife tu ati

Mimi naingiaga live ushawahi kusikia sauti yangu?? Me nikishapandisha majini sijali naingia live sio shida zangu kabisaaaa!!! Muulize Kantri akupe habari zangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na siku nikilewa nawarukia hewani na ndio siku ya kula ban ya kwanza humu[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Kifupi ni WABAYA japo sijazaa ila sio wazuri pale wana iPhone 7 plus sasa kwenye tecno sijui watatokaje achilia live [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]

Hapana WABAYA WABAYA WABAYA Mxxiewwww
punguza hasira utakua mweusi😂
 
Pa kuweka napajuaaa
Nimeshaweka we check tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lini ilikua?

Sasa hukunipa taarifaa, afu usisahau mwsho wa mwezi ni week ijayooo tyuuh.

Nweiiiii ahsanteee sanaaa, ila nalalaa.
 
Mimi naingiaga live ushawahi kusikia sauti yangu?? Me nikishapandisha majini sijali naingia live sio shida zangu kabisaaaa!!! Muulize Kantri akupe habari zangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na siku nikilewa nawarukia hewani na ndio siku ya kula ban ya kwanza humu[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Sasa ukila ban na pm yangu hujafungua inakuaje hapo haha

Sema Jana ulitisha sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shem hana baya kwanza ananidai kesho namtumia vocha ya elfu 10 nilimuahidi sio kila siku agawe tyuuu!!!
Shem nasubiri mzigo wangu tu.
Hapa hawakujui waniulize mimi niwasimulie
Shem huna bayaaaaaa
 
Kifupi ni WABAYA japo sijazaa ila sio wazuri pale wana iPhone 7 plus sasa kwenye tecno sijui watatokaje achilia live [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]

Hapana WABAYA WABAYA WABAYA Mxxiewwww
Naomba ulalee uduguuu, sitakiii kuona unalumbana na watu humu. Itaonekana wee ndo mgomvi.

Huyo yuko ktk crew yao, na yuko karibu sana na yeye. Achaa bhana.
 
Chief unataka kunigombanisha sasa
Shauri yako[emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata usijali kesho nikumbushe nimwambie dogo anitumie nikutumie shem wala usijali
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shem hana baya kwanza ananidai kesho namtumia vocha ya elfu 10 nilimuahidi sio kila siku agawe tyuuu!!!
Uduguuu usimpee huyooo, itume kwanguu.
Yaan ukimpaaa ntakubondaaaa wee.

Usimpeeee, usimpeeee usimpeeee.
 
Back
Top Bottom